Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shabiki Cameroon akwama Ivory Coast kisa nauli

Shabiki Cameroon Shabiki wa timu ya Taifa ya Cameroon Ngando Pickett

Thu, 1 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shabiki wa timu ya Taifa ya Cameroon Ngando Pickett bado yupo nchini Ivory Coast licha ya timu yao kutolewa.

Ngando ameshindwa kurudi Cameroon kwa sababu hana pesa ya tiketi ya ndege , kwenye mahojiano Ngando amesema.

“Tunasubiri kama tutapata msaada ili turudi nyumbani [ Cameroon] , Shirikisho la soka Cameroon [ FECAFOOT] tayari limeondoka"

“Mimi na baadhi ya wenzangu tumekwama na tunahitaji msaada ili turudi nyumbani”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: