Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sergio Busquets, Messi wakutana Inter Miami

Sergio Busquets Messi Sergio Busquets, Messi wakutana Inter Miami.

Mon, 17 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Inter Miami imetangaza kumsajili kiungo, Sergio Busquets kwa mkataba wa kuhudumu klabuni hapo mpaka 2025 baada ya kutamatika kwa mkataba wake huko Barcelona.

Inter Miami jana ilithibitisha kumsajili mshambuliaji Lionel Messi kwa uhamisho huru kutoka PSG.

Busquets (35) raia wa Uhispania anaungana tena na Messi pamoja na kocha Tata Martino ambaye aliwafundisha wawili hao kama kama kocha wa Barcelona kati ya Julai 2013 na Juni 2014.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: