Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sakho mambo bado magumu Ufaransa, arudi alikotoka?

Sakho France Pape Ousmane Sakho

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa kiungo wa klabu ya Simba raia wa Senegal Pape Ousmane SaKho huko kwenye Klabu yake mpya Ufaransa US Quevilly-Rouen Métropole (QRM) League 2 ameendelea kukalia mbao ndefu katika Michezo yote waliyocheza ikiwa ni mchezo wa tisa (9) sasa.

Timu yake hiyo ipo nafasi ya kwanza kutoka mwisho kwa maana hii

Michezo 9

Ushindi 1

Sare 2

Wakifungwa Michezo 6

Alama 5

Inashikilia nafasi ya 20

kati ya timu 20

Vipi wana Simba Kijana wenu arudi ama unyamani kama mwenzake Miquissone? Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: