Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Saido aaga Tanzania "Tutaonanamungu akipenda"

Saido Aaga Tz Nyota wa klabu ya Simba, Saido Ntibazonkiza

Wed, 17 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa klabu ya Simba, Saido Ntibazonkiza kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha kwenye insta story yake akionesha yupo katika uwanja wa ndege wa JK Nyerere na kuandika ujumbe,

"See You next time inshaallah" akimaanisha tutaonana tena mungu akipenda.

Je, unadhani Saido kaondoka Simba au Kaondoka tu nchini kwa muda kisha atarejea?

Tupe mawazo yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: