Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sadio Mane aipeleka Senegal robo fainali AFCON

Goal Sadio Mane 1s38p968zl1wi1mcjgyo5iqymu Sadio Mane, alifunga goli la uongozi la Senegal

Tue, 25 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Magoli ya Sadio Mane dakika ya 63 na Bambia Dieng aliengia akitokea benchi kuchukua nafasi ya Sadio Mane aliefunga goli la pili dakika ya 90+2, yalitosha kuivusha Senegal hatua ya Robo Fainali michuano ya AFCON.

Katika mchezo huo uliwashuhudia Cape Verde wakimaliza watu tisa uwanjani baada ya wachezaji wake wawili kuonyeshwa kadi nyekundu.

P. Andrade na golikipa Vozinha walionyeshwa kadi nyekundu na kuwafanya Cape Verde kucheza pungufu dakika nyingi za mchezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: