Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo aandika rekodi ya kipekee EURO 2024

Ronaldo Euro 6 Cristiano Ronaldo

Wed, 19 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wa jana, Juni 18, 2024 kati ya Ureno na Czech Republic umemfanya nyota wa mpira dunia ambaye ni Mshambuliaji wa Al Nassr na Timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo kufikisha jumla ya michuano sita ya UEFA EURO ambayo ameshawahi kushiriki.

Ronaldo ameshiriki michuano ya Euro kwa mara ya kwanza 2004, kisha 2008, 2012, 2016, 2020 na sasa 2024.

Ikumbukwe kuwa Ronaldo ndiye kinara wa kupachika mabao katika michuano ya EURO ambapo amezama kambano mara 14.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: