Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo, Mbappe huenda wakakutana Robo Fainali

Ronaldo Mbappe Ms Ronaldo, Mbappe huenda wakakutana Robo Fainali

Wed, 26 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mataifa mengine makubwa ambayo yanaweza kukutana kwenye Robo fainali ni Portugal dhidi ya Ufaransa.

Ufaransa amepita kwenye kundi lake na atacheza 16 bora na mshindi wa pili wa kundi E, kama atashinda basi atafuzu Robo fainali.

Ureno pia ameongoza kundi lake na 16 bora anamsubiri mshindi wa tatu kati ya kundi A,B,C kama atashinda atacheza Robo fainali na Ufaransa.

Hii ni mechi nyingine kubwa katika hatua ya mtoano kama kila kitu kitaenda kama inavyo dhaniwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: