Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Robertinho apata timu Rwanda

Robertinho 5.jpeg Robertinho apata timu Rwanda

Tue, 23 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda imemtangaza aliyekuwa kocha wa Simba Sc, Mbrazil Robertinho kuwa kocha mkuu klabuni hapo.

Robertinho anarejea klabuni hapo baada ya hapo awali kuiongoza Rayon Sports kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Rwanda mnamo mwaka wa 2019.

“Tunayo furaha kutangaza kwamba mkufunzi wa kimataifa wa Brazil Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, anayejulikana kama “ROBERTINHO,” ameteuliwa kuwa Kocha wetu Mkuu,” imesema taarifa ya klabu hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: