Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Robertinho akubali mziki wa Yanga, asema hili..!

Robertinho 5.jpeg Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’

Sat, 4 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Simba Roberto Oliviera 'Robertinho' akizungumzia maandalizi yao kwenye mechi ya kesho dhidi Yanga amesema anawajua wapizani wake wana viungo wa wazuri ila yeye ameandaa kikosi bora atakachokitumia kesho.

Kocha Mkuu wa Simba Roberto Oliviera 'Robertinho' akizungumzia maandalizi yao kwenye mechi ya kesho dhidi Yanga amesema anawajua wapizani wake wana viungo wa wazuri ila yeye ameandaa kikosi bora atakachokitumia kesho. “Wapinzani wangu wana wachezaji wazuri sana eneo la Kiungo, nami nataka niwazuie wasicheze kutoka eneo hilo, nitachagua wachezaji sahihi wa kazi hiyo, kesho watacheza wachezaji wangu bora eneo hilo lengo nikupata matoke”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: