Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Orodha kamili ya Wachezaji wa Simba waliosafiri kuifata Prisons

Simba Safari Mbeya Orodha kamili ya Wachezaji wa Simba waliosafiri kuifata Prisons

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba SC wanasafiri jioni hii kuelekea Jijini Mbeya kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu mzunguko wa nne dhidi ya maafande wa Prisons.

Mchezo huo utapigwa Alhamisi ya Oktoba 5 katika Uwanja Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya.

Simba inahitaji alama tatu katika mchezo huo ili kuendelea kujichimbia kileleni mwa msimamo wa Ligi.

Hii hapa ndio Orodha kamili ya wachezaji wanaosafiri usiku huu kuelekea Jijini Mbeya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: