Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota 14 Simba wanaosubiri huruma ya Benchikha

Simba Mtihani Mzito Dhidi Ya Jwaneng Galaxy Wikiendi Hii.jpeg Nyota 14 Simba wanaosubiri huruma ya Benchikha

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tetesi kutoka msimbazi zinasema kuwa Viongozi wa Simba SC wanatajwa kunoa panga lake kwa ajili ya kusafisha kikosi chao kwa kuondoa wachezaji wapatao 14 ili kusafisha hali ya mambo katika Kikosi hicho.

Zoezi hili litakamilika baada ya Mwalimu kufika katika viwanja vya mazoezi ya Timu hiyo inayojiandaa na mchezo wa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Glaxy.

Wachezaji wanaotajwa kuwa katika mipango ya kupitishwa panga hilo ni pamoja

John Bocco

Hennock Inonga

Luis Miquissone

Mohamed Mussa

Jimmyson Mwanuke

Shaaban Chilunda

Clatous Chama

Saidi Ntibanzokiza

Shomari Kapombe

Aubin Kramo

Hussein Abel

Nassoro Kapama

Abdallah Ismail

Ayoub Lakred.

Zoezi hilo kwa sasa linasubiri mchujo, muda na ripoti ya kocha Mkuu ambaye anatarajiwa kuanza kazi leo hii Jumanne.

Kwa mtazamo wako nani aondolewe na nani abaki?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: