Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIDATES: Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza vs Namungo

Mataa Kikosini #NBCLIGIDATES: Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza vs Namungo

Thu, 9 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba kinashuka Dimbani muda mchache kutoka sasa kuwavaa wauaji wa Kusini Namungo mchezo wa raundi ya Tisa.

Mchezo huo utapigwa katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam huku Simba wakiwa na kumbukumbu mbaya ya kupoteza kwa mabao 5-1 kutoka kwa mtani Yanga.

Simba wanakamata nafasi ya tatu wakiwa na alama zao 18 nyuma ya Azam na Yanga wanaoongoza Ligi huku wakihitaji alama tatu kuhakikisha wanapuguza pengo la alama baina yao na vinara Yanga.

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza mchezo wa leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: