Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwamba huyu hapa, Kramo atua Kambini Uturuki (+Video)

Aubin Kramo Kmbini Kiungo mshambuliaji wa Simba, Aubin Kramo tayari amewasili kambini

Mon, 17 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Aubin Kramo tayari amewasili kambini kujiunga na wenzake nchini Uturuki.

Kramo ni miongoni mwa nyota wachache ambao wamechelewa kujiunga na kambi kutokana na vibali vya kuingia Uturuki kuchelewa kutoka.

Tazama Video hapa Chini Nyota huyo akiwasili;

View this post on Instagram

A post shared by Simba Sports Club (@simbasctanzania)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: