Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtihani wa kwanza kwa Matola huu hapa

Matola X Miquissone Mtihani wa kwanza kwa Matola huu hapa

Thu, 9 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Selemani Matola, kocha msaidizi wa Simba ameanza kazi ya kuwanoa wachezaji wa timu hiyo.

Novemba 7, 2023, Matola alitambulishwa kurejea ndani ya kikosi cha wakubwa baada ya kuwa katika timu ya vijana.

Anashirikiana na Kaimu Kocha Mkuu Cadena Daniel ambaye alikuwa ni kocha wa makipa akichukua kwa muda majukumu ya Roberto Oliveira raia wa Brazil.

Mchezo wa kwanza kwa benchi hilo jipya unatarajiwa kuwa Novemba 9, Uwanja wa Uhuru dhidi ya Namungo FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: