Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mpanzu awaacha Simba kwenye mataa

Elie Mpanzuuuu.jpeg Elie Mpanzu

Wed, 31 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kaka wa nyota wa AS Vita, Elie Mpanzu, Kibangula Aigle amethibitisha kuwa winga huyo tayari yupo KRC Genk ya Ubelgiji na muda wowote atasaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo.

Kaka wa nyota wa AS Vita, Elie Mpanzu, Kibangula Aigle amethibitisha kuwa winga huyo tayari yupo KRC Genk ya Ubelgiji na muda wowote atasaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo. Akizungumza na Mchambuzi wa soka Hans Raphael @hansrafael14, Kibangula Aigle amesema Simba Sc hawakuwa ‘serious’ na mkongomani huyo hivyo ni Rasmi dili hilo limeota mbawa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: