Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mo Salah, haitaji kiwango bora, anahitaji "moments tu"

Salah AFCON Mo Salah

Thu, 18 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kama ambavyo ameonesha msimu huu kwa ujumla akiwa na Liverpool, Salah haitaji wow performance bali Moments tu kubadilisha mchezo.

Vision yake ni ya hali ya juu aina ya pasi anazoziona ni hatari hakuna namna unazuia ile pasi kwenda kwa Trezeguet ile pasi imepigwa kwenye eneo ambalo linaitwa 'Corridor of uncertainty' beki kuudhibiti ni ngumu na kipa kutoka na kuucheza ni ngumu.

Moment of magic moja tu kutoka kwake tayari mambo yanakuwa tofauti. Timu ya Taifa ya Misri imeweka mategemeo yote kwake katika mashindano haya yanayotazamiwa kuwa ya mwisho kwake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: