Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbappe afunga bao lake la kwanza EURO

Kyliam Mbappe First Goal EURO Kylian Mbappe

Wed, 26 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kylian Mbappé amefunga bao lake la kwanza kwenye michuano ya EURO baada ya kuifungia Ufaransa bao dhidi ya Poland katika dimba la Signal lduna Park (Dortmund) kwenye mchezo wa Kundi D.

Bao hilo ni kwanza kwa mchezaji wa timu ya Taifa ya Ufaransa kwenye EURO 2024 licha ya kuwa tayari imefuzu hatua ya 16 bora.

Bao la kujifunga la beki wa Austria, Maximilian Wober ndio bao pekee ambalo limeipeleka hatua ya 16 bora.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: