Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa hawa kuikosa Euro 2028

Ronaldo Trs(6).jpeg Mastaa hawa kuikosa Euro 2028

Sun, 16 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Miongoni mwa mastaa ambao watakosa michuano ya EURO mwaka 2028, ni Cristiano Ronaldo (39) Ureno, Luka Modric (38) Croatia , Toni Kroos (34) Ujerumani , Manuel Neuer (38) Ujerumani , Robert Lewandowsk (35) Poland , na Olivier Giroud (37) Ufaransa.

Miongoni mwa mastaa ambao watakosa michuano ya EURO mwaka 2028, ni Cristiano Ronaldo (39) Ureno, Luka Modric (38) Croatia , Toni Kroos (34) Ujerumani , Manuel Neuer (38) Ujerumani , Robert Lewandowsk (35) Poland , na Olivier Giroud (37) Ufaransa. Wachezaji hawa kwa sasa wanayatumikia Mataifa yao kwa mara ya mwisho katika michuano hiyo iliyoanza siku ya jana (Juni 14).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: