Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mangungu agoma Mo Dewji kurudi Simba SC

Mangungu Mo Dewji Mangungu agoma Mo Dewji kurudi Simba SC

Wed, 12 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa klabu ya Simba Salim Abdallah ametangaza kujiuzulu na kumuomba Mohamed Dewji ambaye ni mwekezaji ashike wadhifa huo.

Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu amesema kuwa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi hachaguliwi vile ambavyo Salim amesema hivyo watamchagua Mwenyekiti mpya kwa utaratibu.

Baada ya muda Rais wa Heshima wa klabu hiyo Mohamed Dewji amesema baada ya masaa machache atatoa taarifa kuihusu Simba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: