Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mali chali mbele ya Equatorial Guinea AFCON 2021

Equatorial Guinea 1jvvicuy7ijn017jugfjltblm1 Equatorial Guinea watinga Robo Fainali

Thu, 27 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Mali imeshindwa kutinga hatua ya Robo Fainali baada ya kuondoshwa na Equatorial Guinea usiku wa jana kwa mikwaju ya penati katika mchezo wa hatua ya 16 bora.

Equatorial Guinea wameitoa Mali kwa penati 6-5 katika Uwanja wa Limbe baada ya sare kwa dakika 120 za mchezo.

Equatorial Guinea watakutana na Senegal katika mchezo wa Robo Fainali siku ya Jumapili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: