Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MAPINDUZICUP:Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza vs Singida

Simba Mapinduzi Znz.jpeg Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza vs Singida

Wed, 10 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC kinachoanza dhidi ya Singida Fontaine Gate FC katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la Mapinduzi 2024.

Abdelhak Benchikha amefanya mabadiliko matatu kutoka kikosi kilichoibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Jamhuri SC kwenye robo fainali.

Ally Salim anaanza golini akichukua nafasi ya Ayoub Lakred, ingizo jipya Babacar Sarr anaanza badala ya Abdallah Hamis huku Sadio Kanoute akichukua nafasi ya Luis José Miquissone.

Hiki ndicho Kikosi Kamili cha Simba kinachoanza mchezo wa leo;

Salim

Kapombe

Israel

Kennedy

Che Malone

Babacar

Ngoma

Kanoute

Saido

Onana

Baleke

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: