Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Luka Modric aondoka na rekodi yake EURO 2024

Luka Modric Goal Luka Modric

Tue, 25 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuifungia Croatia bao la uongozi dhidi ya Italia kwenye mchezo wa raundi ya tatu wa Kundi B, mkongwe Luka Modric anakuwa mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi kufunga goli kwenye michuano hiyo.

Modric amefunga bao hilo akiwa na umri wa miaka 38 na siku 289.

Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bao 1-1 na kuwafanya Croatia kumaliza nafasi ya tatu hivyo kuishia hatua ya makundi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: