Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kumekucha Msimbazi! Mo Dewji afanya uteuzi huu..!

Mo Ateua Kumekucha Msimbazi! Mo Dewji afanya uteuzi huu..!

Thu, 1 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba Sc, Mohammed Dewji ‘Mo’ ameteua Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo ambayo itakuwa na wajumbe saba.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba Sc, Mohammed Dewji ‘Mo’ ameteua Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo ambayo itakuwa na wajumbe saba. Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo leo Agosti 1, 2024 imebainisha Wajumbe hao walioteuliwa ambao ni Mohamed Nassor, Azan Said, Richard Mwalwiba, Nicky Magarinza, Juma Pinto, Farid Nahdi na Farouk Baghozah.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: