Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kombe la Shirikisho Afrika limefutwa? Majibu haya hapa ...!(+Video)

Almasi Kasongooo Mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo

Thu, 30 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati ikiwa hakuna jibu la moja kwa moja kama Kombe la Shirikisho Barani Afrika Limefutwa au la.

Bodi ya Ligi kupitia kwa Mtendaji wake Mkuu Almasi Kasongo, wamekuja na majibu ya uhakika kuhusiana na kitendawili hicho.

Kwa upande wa Tanzania Timu mbili za Simba na Coastal Union zitaiwakilisha nchi msimu ujao.

Msikilize Kasongo kwenye Video hapa chini:

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: