Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Tunisia abwaga manyanga

Jalel Kadri Kocha mkuu wa kikosi cha Tunisia Jalel Kadri

Thu, 25 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa kikosi cha Tunisia Jalel Kadri amejihudhuru nafasi ya kocha mkuu baada ya timu yake kuondoshwa kwenye mashindano ya AFCON 2023 yanayoendelea nchini Ivory Coast.

Kocha mkuu wa kikosi cha Tunisia Jalel Kadri amejihudhuru nafasi ya kocha mkuu baada ya timu yake kuondoshwa kwenye mashindano ya AFCON 2023 yanayoendelea nchini Ivory Coast. Tunisia imemaliza nafasi ya mwisho ya msimamo wa kundi lake ikivuna alama mbili pekee kwa kutoka sare michezo miwili [2] na kupoteza mchezo mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: