Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kinda wa Real Madrid afanya kweli EURO

BB1osuYS.jpeg Kinda wa Real Madrid afanya kweli EURO

Wed, 19 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa Uturuki na Real Madrid, Arda Güler (19) ameanza katika michezo saba (7) msimu huu kwa klabu na timu ya taifa na amefanikiwa kufunga mabao saba (7).

Katika mabao matatu ya leo dhidi ya Georgia katika michuano ya EURO 2024 amefunga bao moja kwenye mechi yake ya kwanza ya Euro akiwa na Uturuki, akiwa ndiye mchezaji mdogo zaidi kuwahi kutokea kwa nchi yake katika michuano hiyo.

Guler pia alifunga katika mechi ya kwanza ya La Liga akiwa na Real Madrid.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: