Fri, 26 Jul 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Baada ya Mwanasheria Rashid Yazidu kufanya mahojiano na vyombo mbalimbali vya habari akijitambulisha kama msimamizi wa Kibu Denis, mchezaji huyo [Kibu Denis] ameibuka na kumkana Yazidu.
Baada ya Mwanasheria Rashid Yazidu kufanya mahojiano na vyombo mbalimbali vya habari akijitambulisha kama msimamizi wa Kibu Denis, mchezaji huyo [Kibu Denis] ameibuka na kumkana Yazidu. Kibu amesema Yazidu ni mwanasheria ambaye alimpa kazi na baada ya kazi hiyo walimalizana na hawakuwa na mkataba wa kufanya kazi pamoja.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: