Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kajula amkaribisha bosi mpya Simba

Kaju X Regis.jpeg Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula akiongea na Afisa Mtendaji Mkuu mteule

Thu, 1 Aug 2024 Chanzo: Mwanaspoti

Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula akiongea na Afisa Mtendaji Mkuu mteule, Uwayezu Francois Regis baada ya kumkaribisha.

Pamoja na kumpitisha kwenye masuala kadhaa kuhusu klabu alimpa maelezo ya kina juu ya mikakati mbalimbali endelevu.

Kama ambavyo umma ulijulishwa hapo awali, Kajula ataendelea kumpatia Regis uwelewa wa mifumo, utendaji kazi , wadau, mikakati na masuala mengine ya klabu hadi Agosti 31, 2024, ambapo Kajula ataondoka rasmi na Regis kushika hatamu ya kazi za Afisa Mtendaji Mkuu.

Chanzo: Mwanaspoti
Related Articles: