Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

John Bocco ageukia ukocha

Bocco Ukocha John Bocco ageukia ukocha

Tue, 13 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Klabu ya Simba, John Raphael Bocco ameanza kusomea ukocha wa ngazi ya awali zinazoendeshwa na TFF Makao Makuu Karume ikiwa ni miezi michache kabla ya Mkataba wake na Simba kumalizika mwishoni mwa Msimu huu.

Bocco mwenye umri wa Miaka 34 amekuwa na wakati mgumu ndani ya Simba baada ya kupoteza nafasi ya kucheza kwa misimu miwili,

Taarifa zinasema huenda akatangaza kustaafu kucheza mwishoni mwa msimu huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: