Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Inonga Baka atambulishwa Klabu aliyoondoka Nabi

Inong Baka Far Rabbat Inonga Baka atambulishwa Klabu aliyoondoka Nabi

Sun, 14 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya AS FAR Rabat ya Morocco imemtambulisha aliyekuwa beki wa Simba Sc, Henock Inonga Bacca kama mchezaji mpya klabuni hapo akitokea Simba Sc.

Klabu ya AS FAR Rabat ya Morocco imemtambulisha aliyekuwa beki wa Simba Sc, Henock Inonga Bacca kama mchezaji mpya klabuni hapo akitokea Simba Sc. Inonga anatua AS FAR Rabat timu ambayo ilikuwa ikinolewa na aliyekuwa kocha wa Young Africans SC, Nasreddine Nabi ambaye kwa sasa ametimkia kunako klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: