Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ihefu wanamtaka Chama, Simba nao wahaha kumbakisha

Realclatouschama Ihefu wanamtaka Chama, Simba nao wahaha kumbakisha

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa klab ya Simba Umewasiliana na Clatous Chama tena ili kuweza kumshawishi kuweza kusalia klabuni hapo. Simba Sc tayari wametuma ofa yao kwa kiungo huyo ila bado hajajibu chochote mpaka sasa.

Klab ya Ihefu imetuma ofa nono kwa kiungo huyo na inayoshawishi kwake ila bado hajajibu. Azam Fc nao wameonyesha kumhitaji kiungo huyo, Imefahamika ndani ya jumahili watakuwa wameshatuma ofa yao.

Young Africans Yes ndiyo klab yenye uhakika mpaka sasa wa kuipata saini ya Clatous Chama hii ni kutokana na ofa yao kuwa bora na ushawishi wa kufanya vyema kimataifa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: