Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu hapa Kocha mpya Ivory Coast, atatoboa?

FAE.png Emerse Fae

Thu, 25 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Mpira wa miguu la Nchini Cote D'ivoire FIF limemteuwa Emerse Fae kuwa kocha wa Muda baada ya Luis Gasset kutimuliwa.

Shirikisho la Mpira wa miguu la Nchini Cote D'ivoire FIF limemteuwa Emerse Fae kuwa kocha wa Muda baada ya Luis Gasset kutimuliwa. FIF pia imewataka mashabiki kuungana na kuipa ushirikiano timu Yao ya Taifa baada ya kupita hatua ya 16 kwa mlango wa nyuma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: