Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hispania, Ujerumani kukutana robo fainali Euro 2024?

German Vs Spain Reg Hispania, Ujerumani kukutana robo fainali Euro 2024?

Wed, 26 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa kuwa Hispania ameongoza kundi atacheza 16 bora na mshindi wa tatu wa kundi [A,D,E au F] endapo atashinda mechi hiyo ataenda moja kwa moja robo fainali.

Ujerumani yeye pia ameongoza kundi lake na mechi ya 16 bora atacheza na Denmark kama atashinda mechi hiyo basi Robo fainali atacheza na Spain.

July 5,2024 itakuwa Robo ya kwanza [Spain v/s Germany].

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: