Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii hapa timu mpya ya Kibu Denis, Simba mpo?

Kibu Timu Mpyaaaa Hii hapa timu mpya ya Kibu Denis, Simba mpo?

Thu, 25 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Sakata la kiungo Mshambuliaji wa Simba Kibu Denis likiendelea kufukuta, Mchambuzi wa Soka Jemedari Said ametusanua kuhusu Timu aliyokwenda Kibu Denis.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Jemedar ameandika;

KRISTIANSUND BK ndiyo timu “mpya” ya Kibu Denis. Klabu imeanzishwa mwaka 2003 ina uwanja wake wenye uwezo wa kubeba watu 4,444 walioketi ikiwa imepanda daraja na sasa inacheza daraja la kwanza nchini Norway.

Kibu ana mualiko wa mwezi mmoja (angalia barua) kuanzia Julai 8 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: