Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Herve Renard ageuka dili AFCON 2023

Herve Renard .jpeg Herve Renard

Fri, 26 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Soka la Ivory Coast ( FIF) na Shirikisho la Soka nchini Ufaransa ( FFF) wapo katika majadiliano ya kuwa kocha Herve Renard aiifundishe timu ya ya Taifa ya Ivory Coast katika michezo iliyosalia ya AFCON 2023.

Shirikisho la Soka la Ivory Coast ( FIF) na Shirikisho la Soka nchini Ufaransa ( FFF) wapo katika majadiliano ya kuwa kocha Herve Renard aiifundishe timu ya ya Taifa ya Ivory Coast katika michezo iliyosalia ya AFCON 2023. Herve Renard ameshashinda mataji mawili ya AFCON akiwa na Zambia kisha akabeba akiwa na Ivory Coast.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: