Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gambia, Mali Zatoshana nguvu Afcon 2021

Gamb Vs Mali Gambia, Mali Zatoshana nguvu Afcon 2021

Sun, 16 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya taifa ya Gambia imelazimisha sare ya goli 1-1 na taifa la Mali katika mchezo wa pili wa hatua ya makundi ambapo sasa timu zote mbili zinafikisha alama nne baada ya mechi mbili.

Mali walikuwa wa kwanza kuongoza kabla ya Gambia kurejea na kusawazisha na kufanya matokeo kuwa 1-1 katika dakika 90 mtanange uliopigwa dimba la Limbe, Cameroon.

Magoli yote ya pande mbili yametokea kwa mikwaju ya penati ambapo Mali walifunga dakika 11 kabla ya muda wa mechi kumalizika kupitia kwa Ibrahima Kone kabla ya Musa Barrow kuipa alama moja Gambia.

Gambia wakiwa timu yenye nafasi finyu ya kufanya vizuri ilishinda bao 1-0 dhidi ya Mauritania na Mali kushinda kwa Tunisia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: