Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Corazone Mchezaji Bora wa Ngao ya Jamii 2023

Vivian Corazone Vivian Corazone

Wed, 13 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Mkabaji wa Simba Queens, Vivian Corazone ashinda tuzo ya mchezaji bora wa mashindano ya Ngao ya Jamii 2023.

Kiungo Mkabaji wa Simba Queens, Vivian Corazone ashinda tuzo ya mchezaji bora wa mashindano ya Ngao ya Jamii 2023. Simba Queens ilinyakua taji la Ngao ya Jamii baada ya kuichapa JKT Queens kwa mikwaju ya Penati 4-5.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: