Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Clatous Chama afungiwa na TFF

Chama Best Goal Clatous Chama afungiwa na TFF

Sun, 21 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Simba, Clatous Chama amefungiwa michezo mitatu ya Ligi Kuu Tanzania Bara na kutozwa faini ya Sh 500,000.

Uamuzi huo umetolewa na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), kutokana na kumkanyaga makusudi mchezaji Abal Kassim wa Ruvu Shooting wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara hivi karibuni, tukio lililotokea wakati wachezaji hao hawagombei mpira.

Kutokana na uamuzi huo, Chama sasa atakosa michezo miwili iliyobaki ya kumaliza msimu, ambayo timu yake itacheza.



Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: