Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bosi mpya Simba atua kwa Mkapa, atapona mtu kweli? (+Video)

Ceo Kwa Mkapa Bosi mpya Simba atua kwa Mkapa, atapona mtu kweli?

Fri, 2 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtendaji Mkuu wa Simba, Uwayezu Francois amewasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kutazama mazoezi ya mwisho ya timu hiyo wakijiandaa kuivaa APR ya Rwanda.

Simba itacheza na APR kesho Agosti 3, 2024 katika mchezo wa tamasha la Simba Day litakalofanyika kwenye dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

Tazama Video hapa Chini;

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi (@mwananchi_official)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: