Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bingwa mtetezi hali mbaya AFCON 2021, Rekodi yavurugwa

Algeria Algeria wakiwa haawaamini

Mon, 17 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Algeria kimekubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Equatorial Guinea.

Kipigo hicho walichokipata Algeria kinamaliza rekodi yao ya kucheza michezo 35 pasipo kupoteza.

Kipigo hicho kinaweka rehani nafasi ya kufuzu kwa hatua inayofuata kwa mabingwa hao watetezi wa AFCON kwani mpaka sasa wana alama moja tu wakishika mkia katika kundi E.

Ugumu kwa Algeria ni kuwa wanahitajika kuwafunga Ivory Coast katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: