Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beki Simba afunguka aliewaponza kuangukia Kombe la "Loser" (+Video)

Che Malone X Viongozi Beki Simba afunguka aliewaponza kuangukia Kombe la "Loser"

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Simba Mashabiki wa Simba wakiwa bado hawaamini macho yao baada ya kumaliza msimu wakikamata nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu Bara 2023/24.

Mlinzi wa Yanga raia wa Cameroon Che Malone Fondoh ametaja sababu kubwa iliyowafanya kuangukia pua msimu huu na kuikosa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu ujao.

Akizungumza mara baada ya mchezo Che Malone amesema;

"Kiukweli Matatizo ya Uongozi ndio umeathiri Mfumo mzima wa Timu kwa Ujumla, Sijui Matatizo haya yalitokea wapi yameharibu Timu nzima"

"Kila Kitu ni Maandalizi, kwa ujumla Maandalizi yetu hayakua Mazuri Msimu huu, ili Timu ifanye vuzuri lazima Maandalizi yawe mazuri kuanzia Pre season na kutafuta Wachezaji imara naamini Msimu ujao utakua mzuri '

Tazama Video hapa chini umsikilize Che Maline kwa urefu;

View this post on Instagram

A post shared by Davidpascol (@davidpascol)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: