Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barcelona yapigwa bao 4 na Girona

Girona Barcelonaa Barcelona yapigwa bao 4 na Girona

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Barcelona ikiwa nyumbani, Estadio Olímpico Lluís Companys imelala 4-2 dhidi ya Girona katika mchezo wa raundi ya 16 wa Laliga.

FT: Barcelona 2-4 Girona

⚽ Lewandowski 19’

⚽ Gundogan 90+1’

⚽ Dovbyk 12’

⚽ Gutierrez 40’

⚽ Valery 80’

⚽ Stuani 90+5’

Girona imekwea kileleni mwa msimamo wa Laliga alama 41 baada ya mechi 16 huku Barcelona ikisalia nafasi ya nne alama 34 baada ya mechi 16.

Atletico Madrid ipo nafasi ya tatu alama 34 baada ya mechi 15, Atletico wamecheza mechi moja pungufu.

#FULLTIME

At. Madrid 2-1 Almería

Cádiz 1-1 Osasuna

Granada 0-1 Athletic Bilbao*

Mechi ya Granada dhidi ya Athletic Bilbao ililazimika kuahirishwa baada ya shabiki kupoteza maisha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: