Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barbara kupishana na Kajula Msimbazi

Barbara Mk.jpeg Barbara Gonzalez

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali ndani ya klabu ya Simba zinaeleza kuwa kuna uwezekano mkubwa wa aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) Barbara Gonzalez kurejea kwenye iliyokuwa nafasi yake kabla hajajiuzulu miaka miwili iliyopita.

Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali ndani ya klabu ya Simba zinaeleza kuwa kuna uwezekano mkubwa wa aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) Barbara Gonzalez kurejea kwenye iliyokuwa nafasi yake kabla hajajiuzulu miaka miwili iliyopita. CEO wa sasa Imani Kajula anatajwa kuomba kuondoka kwenye timu hiyo baada ya msimu kumalizika huku Rais wa heshima na mwekezaji wa klabu hiyo Mohammed Dewji akivutiwa zaidi kufanya kazi na Barbara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: