Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Simba wampa "Thank You" Jose Luis Miquissone

Video Archive
Wed, 19 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba SC imeachana na aliyekuwa Kiungo Mshambuliaji wake,Luis Miquissone kufuatia kiwango kibovu alichoonyesha nyota huyo tangu amesajiliwa na Simba kwa mara ya pili.

Miquissone alijiunga na Simba dirisha kubwa la msimu uliopita akitokea katika Klabu ya Al Ahly ya Misri ambako alishindwa kuwashawishi na hivyo kuvunja nae Mkataba.

Je una maoni gani baada ya Simba kuachana na Miquissone? au alipaswa kupewa muda?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: