Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Awesu, Onana watua Misri kuungana na Kikosi cha Simba

Awesu Onana Awesu na Onana.

Fri, 19 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Klabu ya KMC FC ikiendelea kulalamika kuwa bado ina mkataba halali na kiungo Awesu Ali Awesu, nyota huyo wa zamani wa Madini FC tayari amewasili kwenye kambi ya Wekundu wa Msimbazi nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2024/25.

Wakati Klabu ya KMC FC ikiendelea kulalamika kuwa bado ina mkataba halali na kiungo Awesu Ali Awesu, nyota huyo wa zamani wa Madini FC tayari amewasili kwenye kambi ya Wekundu wa Msimbazi nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2024/25. Awesu ameambatana na kiungo mshambuliaji Willy Essomba Onana kuungana na wachezaji wengine kwenye kambi hiyo iliyopo lsmailia, Misri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: