Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aubin Kramo kurudi Simba kwa staili hii..!

Kramo Simbaaaaaa Aubin Kramo kurudi Simba kwa staili hii..!

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa klabu ya Simba Aubin Kramo anaendelea kuimarika taratibu na ameanza mazoezi na kikosi cha kwanza akitoka majeruhi na huenda akaanza kuitumikia timu hiyo msimu ujao.

"Wakati wa Mungu hauna wakati wa mwanadamu. Ninakuamini Mungu wangu kwa sababu tuna majaribu mengi ya kupitia na historia nyingi ya kuandika.

Asante kwa neema yako katika maisha yangu".

ameandika nyota huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: