Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Afrika Kusini mshindi wa tatu AFCON, waichapa Congo kwa matuta

Afrika Ya Kusini AFCON Afrika Kusini mshindi wa tatu AFCON, waichapa Congo kwa matuta

Sun, 11 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Afrika Kusini jana ilifanikiwa kushinda nafasi ya Tatu katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrka baada ya ushindi wa penalti 6-5 dhidiya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kommgo (DRC) kufutia sate ya 0-0 ndani ya fakika 120 Uwanja wa Félix Houphouët-Boigny Jijini Abidjan nchini Ivory Coast.

Waliofunga penalti za Bafana Bafana ni Nkosinathi Sibisi, Thabang Monare, Aubrey Modiba, Zakhele Lepasa, Oswin Appollis na Siyanda Xulu, huku Teboho Mokoena pekee akikosa.

Waliofunga penalti za DRC ni Samuel Moutoussamy, Omenuke Mfulu, Cédric Bakambu, Joris Kayembe na Yoane Wissa, huku Chancel Mbemba na Meschack Elia wakikosa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: