Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#AFCONCAMEROON: Ratiba michezo ya Leo, Januari 25

AFCON LEO 25 J Ratiba michezo ya leo AFCON, Januari 25

Tue, 25 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Michuano ya AFCON inaendelea nchini Cameroon, na sasa ni hatua ya 16 bora kusaka nafasi ya kutinga kwa hatua ya robo fainali.

Katika mchezo wa kwanza majira ya saa moja usiku kwa saa za Afrika Mashariki, utashuhudia Senegal wakioneshana umwamba na Cape Verde.

Mchezo wa Baadae majira ya saa Nne usiku utashuhudia Morocco wakitunishiana msuli na Malawi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: