Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#AFCON2021: Baada ya Kupigwa 3-0, Cameroon Yapindua Matokeo, Yatwaa Mshindinwa Tatu Kibabe

Cameroon Afcon2021 Kupigwa 3-0, Cameroon Yapindua Matokeo

Sun, 6 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya taifa ya Cameroon wamefanikiwa kuwa washindi wa tatu wa michuano ya AFCON baada ya kuishinda Burkina Faso kwa changamoto ya mikwaju ya penati 5-3

Timu hizo zilimaliza dakika 90 kwa sare ya 3-3 kabla ya penati kuamua mshindi katika mchezo huo ulioshuhudiwa mabao mengi zaidi.

Mabao ndani ya dakika 90.

⚽ Yago ⚽ Onana (OG) ⚽ Sufian

⚽ Stephane ⚽ Abubakar ⚽ Abubakar

Wanasema It's not Over Until It's Over, Cameroon ???????? kutoka 3-0 hadi 3-3 na kushinda katika mikwaju ya penati ????

Nahodha wa Cameroon Vicent Aboubakar amemaliza michuano akiwa na magoli 8 baada ya kufunga magoli mawili kwenye mchezo wa kusaka mshindi wa tatu dhidi ya Burkina Faso. Anafuatiwa na Karl Toko Ekambi ambaye pia Mcameroon. Sadio Mane ana magoli matatu na Mohamed Salah ana magoli mawili.

Nani kubeba kiatu cha ufungaji bora? #AFCON2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: