Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kina Mbowe kuanza kujitetea Machi 04

Mbowe 1040x640.crdownload Kina Mbowe kuanza kujitetea Machi 04

Fri, 18 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu wataanza kujitetea Machi 4, 2022 katika kesi ya ugaidi inayowakabili.

Hiyo ni baada ya Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kuwakuta na kesi ya kujibu.

Leo Ijumaa Februari 18, 2022 Mbowe na washtakiwa wenzake ambao ni Halfan Bwire Hassan, Adamu Hassan Kasekwa maarufu kama Adamoo na Mohamed Abdillahi Ling’wenya wamekutwa na kesi ya kujibu

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: